{ Hivi Hawamwangali Ngamia Vile Alivo Umbwa }
{أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى الْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ}


https://albushra-islamia.com./showthread.php?1764


الإمام ناصر محمد اليماني
11 - 10 - 1428 هـ
23 - 10 - 2007 مـ
11:47 مساءً
*Nukulu Kutoka Kwa Bayana:
Al’Mahdi Al’Muntadhar Anatangaza Kukurubia Kusmama Saa.أَوَلَمْ يَرَ الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًا فَفَتَقْنَاهُمَا} صدق الله العظيم [الأنبياء:30].
Allah Ta3ala Asema:{ Je! Hao walio kufuru hawakuona kwamba mbingu na ardhi zilikuwa zimeambatana, kisha Sisi tukazibabandua? Na tukajaalia kwa maji kila kilicho hai? Basi je, hawaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia:30].
Fbillah kwenu basi hivi watajuwaje watungaji wa Ngamia kwa hayo kwamba mbingu na ardhi zilkua zimeambatana kua sayari ya kintronia zikabandukana zikawa kutokana na mlipuko Mkuu
alafu akastawi kwa mbingu nazo ni moshi baada ya Mlipuko Mkuu Akazikidhi mbingu saba basi vipi atawazungumzia qaumu makafiri hawaoni hayo kwenye waqi uhakika hivi waona?
Bali anawazungumzia makafiri wa sasa wale amabao wanaona hayo kweli kwenye waqi uhakika hivi wanaona na kwavile wanaona hayo ndio anawambia wao Allah kwnye mwisho ya aya:{أَفَلَا يُؤْمِنُونَ} {hivi basi hawamini}
Basi nani huyo ambae asema kwamba Anazungumza na makafiri wa qureish bali Anawaeleza kwa kadara ya ufahamu wao na ujuzi wao zaidi ni kuhusu Ngamia, kwajili ya hivo ALISEMA:
{أَفَلَا يَنظُرُونَ إِلَى الْإِبِلِ كَيْفَ خُلِقَتْ}
صدق الله العظيم [الغاشية:17]
Allah Ta3ala Asema:{ Hivi Hawamwangali Ngamia Vile Alivo Umbwa } Sadaqa Allah Al3adhim [Alghashia:17].
Basi aliwalingania kutafakari kwa Ngamia na Akamtaja kabla haja Taja mbingu na majabali na ardhi na hivo ni kwajili ujuzi wao zaidi ilimu yao kuu ni kwenye Ngamia
Na Quraan inazungumza na watu katika kila zama na pahala kulingana na uwezo wa ufahamu wao na ilimu yao na Allah amwejuza umma hu baina ya ma umma zote kwa ilimu kwenye sekta nyingi tafauti kwajili ya hivo Almahdi Almuntadhar anawzungumzia kwa ilimu na mantik na anawabainishia nini hio Saa lakini ingekuja bayana ya Saa kwa makafiri wa Qureish hawangefahamu habari, Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذَا قِيلَ إِنَّ وَعْدَ اللَّهِ حَقٌّ وَالسَّاعَةُ لَا رَيْبَ فِيهَا قُلْتُم مَّا نَدْرِي مَا السَّاعَةُ إِن نَّظُنُّ إِلَّا ظَنًّا وَمَا نَحْنُ بِمُسْتَيْقِنِينَ}
صدق الله العظيم[الجاثية:32].
Allah Ta3ala Asema:{Na ikisemwa: Hakika ahadi ya Mwenyezi Mungu ni kweli, na Saa haina shaka, nyinyi mkisema: Hatuijui hiyo Saa, tunadhania dhana tu, wala hatuna yakini} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljadhia:32].


Ndugu yenu Alimam Nasser Muhammad Alyamani.
أخوكم الإمام ناصر اليماني.