Sijuwi Kwenye Uhai Kwa Binadamu Pasi Na Sayari Ya Maji Ambao Munao Ishi Juu Yake
3 -
الإمام ناصر محمد اليماني
12 - 05 - 1430 هـ
06 - 05 - 2009 مـ
09:21 مساءً
ـــــــــــــــــــ
Sijuwi Kwenye Uhai Kwa Binadamu Pasi Na Sayari Ya Maji Ambao Munao Ishi Juu Yake ..
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Al'Salam Alekom Na Rahma Za Allah Na Baraka Zake, Al'Salam Juu Yetu Na Juu Ya Waja Wa Allah Wema Katika Wa Mwanzo Na Wa Mwisho Na Katika Walio Anga Za Juu Mpaka Siku Ya Dini.
Ndugu Yangu Mkarimu, Alisema Allah Ta3ala:
{إِنَّ رَبَّكُمُ اللّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يُغْشِي اللَّيْلَ النَّهَارَ يَطْلُبُهُ حَثِيثاً وَالشَّمْسَ وَالْقَمَرَ وَالنُّجُومَ مُسَخَّرَاتٍ بِأَمْرِهِ أَلاَ لَهُ الْخَلْقُ وَالأَمْرُ تَبَارَكَ اللّهُ ربّ العالمين}
[الأعراف:54].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Mola Mlezi Wenu Ni Allah Ambae Ameumba Mbingu Na Ardhi Kwa Siku Sita Alafu Akatawala Juu Ya Arshi Huufinika Usiku Kwa Mchana Ufuatao Upesi Upesi Na Jua Na Mwezi Na Nyota Zinazo Tumika Kwa Amri Yake Fahamuni Kwamba Na Amri Ni Zake Ametukuka Kabisa Mwenyezi Mungu Mola Mlezi Wa Viumbe Vote} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaraaf:54].
إِنَّ رَبَّكُمُ اللّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يُدَبِّرُ الأَمْرَ مَا مِن شَفِيعٍ إِلاَّ مِن بَعْدِ إِذْنِهِ ذَلِكُمُ اللّهُ رَبُّكُمْ فَاعْبُدُوهُ أَفَلاَ تَذَكَّرُونَ} [يونس:3].
Allah Ta3ala Asema:{ Hakika Mola Mlezi Wenu Ni Allah Ambae Ameziumba Mbingu Na Ardhi Kwa Siku Sita Na Ametawala Kwenye Ufalme Wake Anaendesha Mambo Yote Hapana Mwombezi ila Bada Ya Idhini Yake Huyo Ndiye Mwenyezi Mungu Mola Wenu Mlezi Basi Mumabuduni Yeye Je Hamukumbuki} [ Yunus:3].
{الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ الرَّحْمَنُ فَاسْأَلْ بِهِ خَبِيراً} [الفرقان:59].
Allah Ta3ala Asema:{ Ambae Alio Umba Mbingu Na Ardhi Katika Siku Sita Alafu Akatawala Kwenye Arshi Al'Rahman Mwingi Wa Rahma Uliza Khabari Zake Kwa Anae Mjuwa} [Alfurqan:59].
{اللَّهُ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ مَا لَكُم مِّن دُونِهِ مِن وَلِيٍّ وَلَا شَفِيعٍ أَفَلَا تَتَذَكَّرُونَ} [السجدة:4].
{ Allah Amabae Alie Umba Mbingu Na Ardhi Na Kiliomo Baina Yake Katika Siku Sita Alafu Akastawi Kwenye Arshi Hamuna Pasi Na Yeye Mlinzi Wala Mwombezi ispokua kuwa Yeye Tu Basi Je Hamukumbuki} [Alsajdah:4].
{هُوَ الَّذِي خَلَقَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ ثُمَّ اسْتَوَى عَلَى الْعَرْشِ يَعْلَمُ مَا يَلِجُ فِي الْأَرْضِ وَمَا يَخْرُجُ مِنْهَا وَمَا يَنزِلُ مِنَ السَّمَاء وَمَا يَعْرُجُ فِيهَا وَهُوَ مَعَكُمْ أَيْنَ مَا كُنتُمْ وَاللَّهُ بِمَا تَعْمَلُونَ بَصِيرٌ} [الحديد:4].
{Yeye Ndio Alie Ziumba Mbingu Na Ardhi Katika Siku Sita Kisha Akaka Vyema Juu Ya Enzi Anayajua Yanayo Ingia Katika Ardhi Na Yanayo Toka Humo Na Yanayo Teremka Kutoka Mbinguni Na Yanayo Panda Humo Naye Yu Pamoja Nanyi Popote Mlipo Na Mwenyezi Mungu Ni Mwenye Kutaona Mnayo Yatenda} [Alhadid:4}
{وَلَقَدْ خَلَقْنَا السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضَ وَمَا بَيْنَهُمَا فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ وَمَا مَسَّنَا مِن لُّغُوبٍ} [ق:38].
{ Na Bila Ya Shaka Sisi Tumeziumba Mbingu Na Ardhi Na Vilio Baina Yao Mnamo Siku Sita Na Wala Hayakutugusa Machofu} [Qaf:38].
{وَهُوَ الَّذِي خَلَق السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ وَكَانَ عَرْشُهُ عَلَى الْمَاء لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلاً وَلَئِن قُلْتَ إِنَّكُم مَّبْعُوثُونَ مِن بَعْدِ الْمَوْتِ لَيَقُولَنَّ الَّذِينَ كَفَرُواْ إِنْ هَـذَا إِلاَّ سِحْرٌ مُّبِينٌ} [هود:7].
صـــــدق الله العظيــــم.
{ Na Yeye Ndiye Alie Ziumba Mbingu Na Ardhi Katika Siku Sita Na Kiti Chake Cha Enzi Kilikua Juu Ya Maji ili Akufanyeni Mitihani Ajuulikane Ni Nani Miongoni Mwenu Mzuri Zaidi Wa Vitendo Na Wewe Ukisema Nyinyi Hakika Mutafufuliwa Ba'ada Ya Kufa Wale Walio Kufuru Husema Hayakuwa Haya Ila Ni Uchawi Ulio Wazi} [Hud:7] Sadaqa Allah Al3adhim.
Ndugu Mkarimu, Na Je Unajua Kinacho Kusudiwa Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
وَهُوَ الَّذِي خَلَق السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ وَكَانَ عَرْشُهُ عَلَى الْمَاء لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلاً وَلَئِن قُلْتَ إِنَّكُم مَّبْعُوثُونَ مِن بَعْدِ الْمَوْتِ لَيَقُولَنَّ الَّذِينَ كَفَرُواْ إِنْ هَـذَا إِلاَّ سِحْرٌ مُّبِينٌ}
[هود:7]؟
{ Na Yeye Ndiye Alie Ziumba Mbingu Na Ardhi Katika Siku Sita Na Kiti Chake Cha Enzi Kilikua Juu Ya Maji ili Akufanyeni Mitihani Ajuulikane Ni Nani Miongoni Mwenu Mzuri Zaidi Wa Vitendo Na Wewe Ukisema Nyinyi Hakika Mutafufuliwa Ba'ada Ya Kufa Wale Walio Kufuru Husema Hayakuwa Haya Ila Ni Uchawi Ulio Wazi} [Hud:7]?
Mana Maji Ni Siri Ya Uhai Na Wala Hamna Uhai Kwa Binadamu Bila Ya Maji, Na Sijapata Maji Katika Ardhi Saba Zote Katika Al'Quran Al3adhim, Na Sikupata Maji Ispokua Katika Sayari Mama Ambao Allah Ameumba Nayo Ulimwengu Na Akaumba Kutokana Nayo Binadamu Nayo Ni Hi Ardhi Ambayo Munaishi Ndani Yake Nayo Ndio Mama Yenu Na Mama Wa Mbingu Na Ardhi Zote Arshi Ya Malakut Ufalme Wa Dunia Juu Ya Maji; Yani Juu Ya Ardhi Yenu Hi Ambao Inafinika Maji Robo Tatu Juu Ya Uso Wa Yabisi, Na Kwajili Ya Hivo Amefanya Allah Kanuni Ya Sayari Maji Ambao Imefetuka Kutokana nayo Mbingu Saba Na Ardhi Saba, Nayo Ni Ardhi Ya Maji Na Akajalia Allah Kutokana Na Maji Kilicho Hai, Akasema Allah Ta3ala:
{أَوَلَمْ يَرَى الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًا فَفَتَقْنَاهُمَا وَجَعَلْنَا مِنْ الْمَاءِ كُلَّ شَيْءٍ حَيٍّ أَفَلاَ يُؤْمِنُونَ}صدق الله العظيم [الأنبياء:30]
Allah Ta3ala Asema:{ Je Hao Walio Kufuru Hawajaona Kwamba Mbingu Na Ardhi Zilikua Zimeambatana Kisha Sisi Tukazibabandua Na Tukajaalia Kwa Maji Kila Kilicho Hai Basi Je Hawaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia:30];
Maana Kwamba Mbingu Saba Na Ardhi Saba Zilikua Zimiambatana Sayari Moja Juu Ya Sayari Ya Maji Ambao Ameifanya Allah Siri Ya Uhai Kwa Wanadamu Na Kinacho Tembea Na Wala Hakuna Uhai Kwao Bila Ya Maji, Na Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{أَوَلَمْ يَرَى الَّذِينَ كَفَرُوا أَنَّ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ كَانَتَا رَتْقًا فَفَتَقْنَاهُمَا وَجَعَلْنَا مِنْ الْمَاءِ كُلَّ شَيْءٍ حَيٍّ أَفَلاَ يُؤْمِنُونَ}
صدق الله العظيم [الأنبياء:30].
Allah Ta3ala Asema:{ Je Hao Walio Kufuru Hawajaona Kwamba Mbingu Na Ardhi Zilikua Zimeambatana Kisha Sisi Tukazibabandua Na Tukajaalia Kwa Maji Kila Kilicho Hai Basi Je Hawaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia:30];
Kwahivo Hakuna Ardhi Wanaishi Juu Yake Watu Kwenye Maisha Ya Kwanza Ila Juu Ya Sayari Ya Kufetuka Sayari Ya Maji Ambayo Imefetuka Nayo Mbingu Na Ardhi, Alafu Akabainisha Allah Kwamba Maji Ndio Siri Ya Uhai Wala Hakuna Maji Kando Na Ardhi Na Akatoa Ndani Yake Maji Yake Na Maisha Yake Kuneemeka Nyinyi Na Wanyama Wenu, Na Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَجَعَلْنَا مِنْ الْمَاءِ كُلَّ شَيْءٍ حَيٍّ أَفَلاَ يُؤْمِنُون} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:{ Na Tukajaalia Kwa Maji Kila Kilicho Hai Basi Je Hawaamini } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia:30];
Basi Sijuwi Kwenye Uhai Kwa Watu Mbali Na Sayari Ya Maji Ambao Munaishi Juu Yake, Na Je Wajua Vipi Amejua Al'Mahdi Al'Muntadhar Kwamba Hakuna Maji Katika Sayari Zingine Ispokua Katika Ardhi Ya Watu? Na Hivo Ni Kulingana Na Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الَّذِي خَلَق السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضَ فِي سِتَّةِ أَيَّامٍ وَكَانَ عَرْشُهُ عَلَى الْمَاء لِيَبْلُوَكُمْ أَيُّكُمْ أَحْسَنُ عَمَلاً وَلَئِن قُلْتَ إِنَّكُم مَّبْعُوثُونَ مِن بَعْدِ الْمَوْتِ لَيَقُولَنَّ الَّذِينَ كَفَرُواْ إِنْ هَـذَا إِلاَّ سِحْرٌ مُّبِينٌ} صدق الله العظيم [هود:7].
Allah Ta3ala Asema:{ Na Yeye Ndiye Alie Ziumba Mbingu Na Ardhi Katika Siku Sita Na Kiti Chake Cha Enzi Kilikua Juu Ya Maji ili Akufanyeni Mitihani Ajuulikane Ni Nani Miongoni Mwenu Mzuri Zaidi Wa Vitendo Na Wewe Ukisema Nyinyi Hakika Mutafufuliwa Ba'ada Ya Kufa Wale Walio Kufuru Husema Hayakuwa Haya Ila Ni Uchawi Ulio Wazi} [Hud:7]
Na Kwavile Amefanya Ishara Ama Kanuni Ya Kufetuka Katika Kitabu Ni Maji; Kwahivo Hakuna Maji Katika Ma'Sayari Zengine, Na Kiyasi Gani Waliwaza Kua Ma'Bahari Kwenye Ardhi Ya Mars Lakini Wao Hawakupata Ndani Yake Kitu, Basi Chungeni Muamini Kusadiki Yale Yanao Khalifu Sayansi Ya Kitabu Na Allah Anajua Zaidi Yao, Wala Hafwati Al'Mahdi Al'Muntadhar Matamanio Yao Kama Wanavo Fanya Wengi As'hab ilmuli'iijaz Kama Mfano Wa Kutafsiri Kwao Kwa Ardhi Saba Kwamba Ni Ardhi Moja Na Kwamba Ardhi Saba Ni Tabaka Ndani Yake Kama Mfano Wa Tauwil Ya Al'Shekh Abdulmajid Al'Zindani Na Zaghlul Al'Najar! Basi Hawajuwi Kua Ma'Ardhi Ni Sayari Zimeangikwa Katika Anga Ya Dunia? Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَكَذَلِكَ نُرِي إِبْرَاهِيمَ مَلَكُوتَ السَّمَوَاتِ وَالأَرْضِ وَلِيَكُونَ مِنَ الْمُوقِنِينَ (75) فَلَمَّا جَنَّ عَلَيْهِ اللَّيْلُ رَأَى كَوْكَبًا قَالَ هَذَا رَبِّي فَلَمَّا أَفَلَ قَالَ لا أُحِبُّ الآفِلِينَ (76)}
صدق الله العظيم [الأنعام:76]
Allah Ta3ala Asema:{ Na Kadhalika Tunamonesha Ibrahim Ufalme Wa Mbingu Na Ardhi Na Ili Awe Ni Katika Wenye Yakini (75) Na Pindi Ilipo ingia Kwake Usiku Ameona Sayari Akasema Huyu Mola Wangu Mlezi Na Ilipo Undoka Akasema Mimi Sipendi Wanao Kimbia (76)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam:76]; Na Ni ipi Hio Sayari ? Ni Moja Katika Ma'Sayari Za Ardhi Saba Ambazo Zilioangikwa Angani, Na Vipi Wanasema Juu Ya Allah Kwa Kudhani ? Hakika Ya Dhana Haisaidi Mbele Ya Haki Kitu.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalamin..
Nduguyako Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوك الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
Kifurushi Cha Bayana
https://albushra-islamia.com./showthread.php?5182